Bwana Yesu Asifiwe mpendwa. Kwa namna ambayo Mungu amekuwa mwaminifu kwetu kwa majira haya, basi tunayo sababu ya kumwambia ASANTE kwa yale makuu aliyofanya na ambayo atayafanya katika siku za usoni.
Jumapili hii tarehe 23/01/2022 ungana namimi kupaza sauti za shukrani kwa Mungu wetu kwa ajili ya yale aliyotutendea. #ASANTE ndio wimbo wetu wa kwanza katika LIVE Recording ya #RebirthExperience iliyofanyika mwaka jana 2021 na ninayo furaha kukuletea wimbo huu wa Shukrani.
#Asante
#wimbowamajira
#RebirthExperience
#AreYouReady