Dr Ipyana | Finally My Liberty has Come | Online Live Experience | 02nd Feb 2025

Просмотров: 23, 927   |   Загружено: 3 нд.
icon
Dr Ipyana
icon
926
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
#dripyana #myliberthascome
Bwana YESU Asifiwe sana,

Tunambariki MUNGU kwa ajili yenu wote mliojiunga nasi kwenye Ibada hii. Karibuni sana.

Praise the name of Our Lord JESUS CHRIST, We bless GOD for everyone who is joining us today. You are warmly welcome, and many thanks.

Number ya Testimonies (Fruits of the month) Kutuma shuhuda za matunda ya mwezi, mambo MUNGU amekutendea. Tafadhali tuandikie message au WhatsApp kwenye namba hii +255754637055.

To send in your fruits of the month (Testimonies), to testify of all the wonderful and marvelous acts of GOD in your life, please write us a message or WhatsApp via this number: +255754637055.

Kuwa Partner Kuwa Partner wa huduma ya Grand Ibada, ungependa kuiungamanisha na yale MUNGU anayofanya kwenye hii huduma, tafadhali tuma ujumbe, ukijitambulisha jina lako, na kutamka namna gani ungependa kuwa partner wa Huduma. Tafadhali tuandikie message au WhatsApp kwenye namba hii +255754637055.

To partner with GOD in what HE is doing via this Grand Ibada Ministry, kindly send us a text introducing yourself and stating how you would love to partner with the Ministry. Kindly write us a text or WhatsApp on this number: +255754637055.

SADAKA Namba zetu za sadaka ni:

CRDB BANK: 0152294745700 IPYANA PETER KIBONA Swift Code: CORUTZTZ
Mpesa/Terra/Wave/NALA: +255754637055 IPYANA PETER KIBONA
MPESA LIPA NAMBA: 5004625 GRAND IBADA
Kindly channel your offerings through:

CRDB BANK: 0152294745700 IPYANA PETER KIBONA Swift Code: CORUTZTZ
Mpesa/Terra/Wave/NALA: +255754637055 IPYANA PETER KIBONA
MPESA LIPA NAMBA: 5004625 GRAND IBADA
JOINING OUR ONLINE EVANGELISM CLASSES Ukiwa umempokea Bwana YESU Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, tunakushauri utafute kanisa la kiroho lililopo karibu na wewe, kuhudhuria mafundisho yenye kukukuza kiroho.

Pia, kama ungependa kujiunga na madarasa ya kiroho, tunalo Group la Online Evangelism lipo chini ya huduma ya Grand Ibada inayoongozwa na Roho Mtakatifu kupitia Mtumishi wake Dr. Ipyana.

Kwenye group hili tuna program ya mafundisho ya NENO LA MUNGU ambayo yamejikita katika kukukuza kiroho katika kumjua MUNGU ili uwe MKRISTO mwenye nguvu.

Madarasa huwa ni Jumatatu na Jumatano, saa moja mpaka saa mbili usiku kupitia platform ya Google Meetings na link hutumwa. Karibuni Sana.

Kujiunga na darasa, tuma ujumbe wa message/WhatsApp ukijitambulisha, ukisema nia yako ya kujiunga na darasa, kisha utaungwa kwenye group. Tuma ujumbe kwenye namba +255754637055.

If you have accepted the Lord JESUS Christ as your Lord and Savior, we advise you to find a spiritual church near you to attend teachings that will help you grow spiritually.

Additionally, if you would like to join our spiritual classes, we have an Online Evangelism Group under the Grand Ibada Ministry, led by the Holy Spirit through His servant Dr. Ipyana.

In this group, we have a program of GOD'S WORD teachings aimed at spiritual growth, helping you to know GOD more deeply and become a strong Christian.

Classes are held on Mondays and Wednesdays from 7 PM to 8 PM through the Google Meetings platform, and the link will be sent. You are warmly welcome.

To join the class, send a message or WhatsApp introducing yourself, stating your intention to join the class, and you will be added to the group. Send your message to +255754637055.

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Dr Ipyana | Finally My Liberty has Come | Online Live Experience | 02nd Feb 2025 - RusLar.Me