
Si wakati wa Kulia (Lyrics Video) ni wimbo wenye kutia Moyo na faraja katika mambo mbalimbali ambayo mwanadamu anapitia, na kutukumbusha kuwa yupo Mungu mwenye uweza ambaye ameahidi kuwa hatatuacha mpaka mwisho wa dahali.
Email: neemagospelchoir@gmail.com
Whatsapp: +255 766 777 288