Neema Gospel Choir - Permanent (lyrics video)

Просмотров: 22, 414   |   Загружено: 1 год.
icon
Neema Gospel Choir
icon
227
icon
Скачать
iconПодробнее о видео
Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida.

Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3).

Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja
Leader: ⁠David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago
Video Editor: Enock Magwesela

LYRICS
Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea,
Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe,
Niko sure na huyu mzee Kanitendea.

Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent.
Baba kasema nisihofu,
yuko nami tena nisifadhaike,
Mkataba wa baraka Ni Permanent.

Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena.

Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent

Похожие видео

Добавлено: 55 год.
Добавил:
  © 2019-2021
  Neema Gospel Choir - Permanent (lyrics video) - RusLar.Me